Thursday, August 18, 2011

Ushairi wa Kiswhahili

Mashairi yatayafuata maneno machache haya. Nilitunga beti na vina zinazotumia beti za uhuru (vuni).

The following is a collection of Swahili poems I composed. The verses can be rhymed in rhythm.

--

Utaka nini?
Niko chini
Kwa sababu naimba ukweli kwa miaka ishirini

Njoo na mimi,
hata wakili
Sheria ya Kiswahili inatawala pwanini

Midundo mipoa
Tutaitoa
Mpaka mwisho wa dunia
Hatutachoka

Tazama, vijana
Twacheza na maana
Ndiyo au hapana?
Uliza mababi na mabwana
Wanakubaliana
Ushairi ni furuaha


--

naombeombe
chupa za pombe
nahitaji kuzimaliza kila siku
sikuyote

nikipata marafiki,
wananiitwa mlevi-e
nipe bia mvinyo guiness,
hata dawa za kienyej-e

sikumbuki asabuhe
ilikuwa juzi juze
na nimesahau kusemaje
kiswhahili vizure

saa yangu ni bure
sina kazi milele
nikigundua mlima pilsner
nitakuwa na RAHA…mustarehe.

--

poa kachizi
kama ndizi
ninafana na mwizi
ameyeshinda polisi

kiswhahili
hiki
sichajui
lakini
beti na mdundo
zinakuja rahisi
zinazofika usiku
ninapopata usingizi

--

hii na bahari, na sisi tulivua
hatuna magari, meli ama punda

samaki wametoraka
hatujali
twauza mitai, kawaha na sukari

ukikuja bila pesa,
huduhumu yetu ni bure,
tupe msaada
kama kusafisha vikombe

Ujumaa ulikufa?
Miaka wa sabini?
Umoja umefauua
Tangu tumeshiriki

---

(kuimba pole pole)

shida
kila asabuhi ni shida
sisi tunaamka na shida
mpaka kuna kucha ni shida

shida
bibi yangu amekuwa na mimba
mtoto yetu hatakuwa na jina
basi ninaimba na shida

shida
nimepotea pesa
mimi siwezi kueleza,
maisha wangu bila faida
shida (4x)
maisha wangu ni shida, na shida inakua